Dodoma FM
Dodoma FM
19 November 2025, 4:16 pm

WHO inathibisha kupungua kwa kiwango kikubwa kwa magonjwa ya mlipuko.
Na Anwary Shaban.
Shirika la Afya Duniani – WHO – limethibitisha kupungua kwa kiwango kikubwa kwa magonjwa ya mlipuko duniani.
Hatua hii inachukuliwa kuwa ushindi mkubwa katika mapambano dhidi ya maradhi yaliyokuwa yakiua watu wengi.