Dodoma FM
Dodoma FM
17 November 2025, 3:36 pm

Leo katika kipengele cha mama na mtoto tunaangazia umuhimu wa mama mjamzito kuandaa vifaa vya kujifungulia mapema.
Na Anitha Mganga
Midwife Anitha Mganga anaeleza pia anabainisha ni vifaa gani mama anavyopaswa kuandaa kabla ya kujifungua.