Dodoma FM

Gunners na tumaini la kuibuka na alama tatu

10 November 2025, 4:20 pm

Timu hiyo ina tumaini hilo baada ya kuibuka na ushindi wa bao mbili jumamosi iliyopita dhidi ya timu ya B 19.

Kocha mkuu wa timu hiyo ya Gunners Juma Ikaba anasema wana imani kubwa wataibuka na alama tatu katika mchezo unao fuata wa ligi hiyo dhidi ya mchezo wao na Geita gold.

Sauti ya Michezo.