Dodoma FM
Dodoma FM
6 November 2025, 9:44 am

Na Hamisi Makila
Ligi ya mpira wa kikapu inatarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 26 hadi Decemba 6 2025 mkoani Dodoma ikihusisha timu 16 za wanaume na timu 12 za wanawake.
Mchambuzi wa Mpira wa Kikapu Bon Charles amezitaka timu hizo kujiandaa kikamilifu ili ziweze kufanya vizuri katika michuano hiyo.