Dodoma FM
Dodoma FM
28 October 2025, 2:48 pm

Mitazamo hasi na kutoaminiwa na jamii ni baadhi ya vikwazo vinavyo wakumba wanawake.
Na Mariam Matundu.
Moja ya vikwazo wanavyo kutana navyo wanawake katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa ni mitazamo hasi ya kutokuaminiwa na jamii kutokana na mila na desturi kandamizi dhidi ya wanawake.
Kutana na Jenista Maringo mwanamke wa kwanza kugombea nafasi ya udiwani kata ya Zuzu hapa Dodoma.