Dodoma FM

Mwema akemea imani za kishirikina wanafunzi wa kike Kiteto

22 October 2025, 5:02 pm

Picha ni mkuu wa wialaya ya Kiteto Mh. Remidius Mwema akiongea na wakazi wa Kiteto alipofika shuleni hapo.Picha na Kitana Hamis.

Wanafuzi hao wamechukuliwa kwajili ya uchunguzi.

Na Kitana Hamis.
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema amekemea imani za kishirikina baadhi ya Wanafunzi wa kike kuanguka shuleni nakupoteza fahamu.

Mkuu wa wilaya ya kiteto alilazimika kufika Shuleni hapo na kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo baada ya kupata tarifa kuwa kunabaadhi ya wanafunzi wa kike ambao wanaanguka na kupoteza fahamu shuleni hapo.

Habari kamili.