Dodoma FM
Dodoma FM
22 September 2025, 2:44 pm

Ungana na Midwife Anitha Mganga ili uweze kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Afya ya mama na mtoto.
Na Mariam Kasawa.
Wiki hii katika kipindi Cha ijali Afya yako kipengele Cha mama na mtoto tunaangazia Afya ya mama kabla hajabeba ujauzito.