Dodoma FM

Dodoma jiji wapo tayari kuivaa KMC

16 September 2025, 2:46 pm

Picha ni kikosi cha walima Zabibu Dodoma jiji.Picha na Dodoma Jiji football club.

Wamewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi ili kuwasapoti katika mchezo huo.

Kocha wa timu ya Dodoma jiji ameeleza maandalizi yao kuelekea mchezo wao na KMC unaotarajiwa kuchezwa hapo kesho ambapo amesema tayari wachezaji wamejiandaa vizuri licha ya kufahamu kuwa ni mchezo mgumu ulioko mbele ya.

Sauti na Hamis Makila.