Dodoma FM
Dodoma FM
11 August 2025, 1:58 pm

Ubovu wa barabara umekuwa chanzo cha magari ya eneo hilo hasa mabasi ya abiria kuharibika mara kwa mara.
Na Kitana Hmais.
Inaelezwa kuwa Kutokutekelezwa kwa ahadi ya Barabara ya lami kiteto kumefanya Wananchi kutotimiza malengo yao.
Hali hii imepelekea wafanyabiasha wa eneo hilo hasa wamiliki wa mabasi ya abiria kushindwa kuendelea na biashara hiyo kutokana na magari yao huharibika mara kwa mara kwasababu ya ubovu wa barabara.