Dodoma FM
Dodoma FM
7 August 2025, 12:50 pm

Wameyasema haya mala baada ya katibu wa chama hicho kutangaza matokeo ya uchaguzi wa majimbo ya kibakwe na Mpwapwa.
Na Steven Noel.
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la mpwapwa wamelalamikia RUSHWA kutawala Katika uchaguzi kitu walicho kusema kuwa kilipelekea uchaguzi huo kuto kuwa Huru na Haki.