Dodoma FM
Dodoma FM
24 July 2025, 5:08 pm

wagombea hao wametakiwa kufuata kanuni Sheria na taratibu za uchaguzi.
Na Steven Noel.
Wanachama 46 wa umoja wawanawake ccm Tanzania UWT. Wilaya ya Mpwapwa wapitisha majina tisa ya waliowania udiwani viti maluum Katika mchakato uliofanyika Katika viwanja vya ofisi za ccm.
Akifungua mkutano huo Mkuu wa wilaya ya kongwa Mayeka Saimon Mayeka amewataka wanawake hao kufuata kanuni Sheria na taratibu za uchaguzi Ili kuwa na uchaguzi huru na wa Haki .