Dodoma FM
Dodoma FM
24 July 2025, 4:18 pm

kufuatia ithibati hiyo watatoa Huduma bora Kwa wakazi wa mpwapwa na viunga vyake.
Na Steven Noel.
Uongozi wa hospitali ya wilaya ya Mpwapwa imeboresha Huduma za kimaabara kufuatia kupatia kupatiwa ithibati na wizara ya Afya na kuanza kutoa Huduma ambazo xilikuwa hazitolewi hapo awali.
Akiongea Katika hafla ya kutangaza kibali cha ithibati hiyo meneja wa maabara ya hospitali hiyo Ngo’lo Msalaba amesema kufuatia ithibati hiyo watatoa Huduma bora Kwa wakazi wa mpwapwa na viunga vyake .