Dodoma FM
Dodoma FM
16 July 2025, 4:00 pm

Sanjari na hayo amebainisha kuanza kwa utekelezaji wadira hiyo ifikapo mwezi july baada ya kwisha kwa dira iliyopo ivisasa.
Na Anwary Shaban.
Ripoti ya kukamilika kwa maendeleo 2050 inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 17 mwezi july na Dkt. Samia Suluh Hassan jijini dodoma.
Hayo yamesemwa na katibu mtendaji Dkt Fred Msemwa ambaye anatoka tume ya mipango akizungumza na waandishi wa habari kwa kukamilika kwa ripoti ya maendeleo ya Taifa hadi kufikia mwaka 2050.
Aidha Dkt Fred amesema tayari wawameandika historia ya kukamilisha ripoti ya mwaka 2050 ambapo mchakato huo ulichukua miaka miwili iliyopita.
Pia amesema dira hiyo imechukua maarifa kutoka nchi mbalimbali katika kuhakikisha nchi inakuwa na maendeleo mpaka ifikapo mwaka 2050.