Dodoma FM

Changamoto za miundombinu shuleni kikwazo kwa wanafunzi

9 July 2025, 2:50 pm

Picha ni wakazi wa Idilo wilayani Mpwapwa wakiwa katika mkutano .Picha na Steven Noel.

Aidha wamewaomba wadau mbalimbali kujitokeza ili kuwasaidia kuboresha miundombinu ya shule hiyo.

Na Steven Noel.
Wananchi wa kijiji cha Idilo wilayani Mpwapwa wamejadili changamoto zinazo wakabili wanafunzi wawapo shule katika eneo hilo.

wakiongea katika mkutano wa hadhara wazazi hao wamesema wanafunzi wanakabiliwa na changamoto ya vyoo hasa watoto wa kike wamekuwa wakikosa sehemu ya kujistiri na kubadili taulo zao za kike wanapokuwa shuleni hapo.

Habari kamili