Dodoma FM
Dodoma FM
27 May 2025, 4:14 pm

Je vijana wanazungumziaje elimu ya mikopo ambayo imekuwa ikitolewa je inawanufaisha kwa kiasi gani.
Na Seleman Kodima.
Awali nimefanikiwa kufika hadi chuo cha kilimo,mifugo na maendeleo ya jamii TRACDI Nzuguni na kuzungumza na wadau mbalimbali kuhusu Je Elimu ya Mikopo inamsaidiaje kijana kujikwambua kiuchumi
Karibu ufatane nami