Dodoma FM

Rushwa katika uchaguzi na wanawake kuwania nafasi za uongozi

20 May 2025, 3:38 pm

Ni kwanini wanawake wanaathirika zaidi na rushwa wakati wa uchaguzi.Picha na TGNP.

Rushwa katika siasa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyowakwamisha wanawake kuwania nafasi za uongozi.

Karibu katika makala ya Amua, makala ambayo inakujia kupitia Dodoma FM, na wiki hii tunajadili kwa pamoja kuhusu Rushwa katika uchaguzi inavyokwamisha wanawake kuwania nafasi za uongozi.