Dodoma FM

Babati kuja na mkakati kumaliza matukio ya ukatili

13 May 2025, 5:03 pm

Picha ni Mkuu wa Wilayani ya Babati Emmanuela Kaganda akizungumza na wananchi wa Babati.Picha na Kitana Hamis.

Hii ni kufuatia tukio la hivi karibuni la binti mwenye Umri wa miaka 13 Kubakwa na kuuawa.

Na Kitana Hamis.
Mkuu wa Wilayani ya Babati Emmanuela Kaganda Ametangaza Oparesheni ya kumaliza Matukio ya ukatili ikiwemo Ubakaji.

Hii ni kufuatia tukio la hivi karibuni la binti mwenye Umri wa miaka 13 Kubakwa na kuuawa siku chache zilizo pita Wilayani Babati Mkoani Manyara.

Habari kamili.