Dodoma FM
Dodoma FM
12 May 2025, 2:10 pm

Sanjari na hayo Professa Canute ambaye ni makamu mkuu wa chuo mpango fedha na utawala ameweza kumshukuru mkuu wa chuo hicho kwa kuweza kufanikisha uzinduzi wa mitaala 10
Na Annuary Shaban.
Mkuu wa chuo cha mipango na maendeleo vijijini cha Dodoma Profesa Hozen Mayaya amezindua mitaala kumi mipya itakayoanza kutumika kwa ajili ya kuwafundishia wanafunzi katika chuo hicho.
Ameyasema hayo jijini Dodoma chuoni hapo wakati akizindua mitaala hiyo na kuweka historia na dhamira ya dhati katika kukimu mahitaji ya jamii katika elimu.

Pia makamu mkuu wa chuo cha mipango taaluma Professa Dimoso ameelezea mchakato wa kuandaa mitaala hiyo ambayo itakayo kuwa ikitajika katika serikali na sekta binafsi.
Sanjari na hayo Professa Canute ambaye ni makamu mkuu wa chuo mpango fedha na utawala ameweza kumshukuru mkuu wa chuo hicho kwa kuweza kufanikisha uzinduzi wa mitaala 10