

15 April 2025, 3:40 pm
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na ustadhi Yazidu Kirazi kupitia namba hii 068877 5701
Na Kitana Hamis.
Waumini wa Dini ya Kislmu waomba Serikali na Wadau wa maendeleo kuwashika Mkono katika Ujezi wa Madrasa shauri moyo iliopo Kijiji cha Mtakuja mta wa lufutwi Wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Wakizungumza na Taswira ya Habari Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kislmu wanaeleza changamoto inayo wakabili tumekuwa tunachangamoto Kubwa sana haswa kipidi hichi cha Mvua awali watoto walikuwa wanasoma chini ya Mti hata uelewa wao unakuwa Mdogo Sana tunaomba waisani wamaendeleo na Pamoja na serekali watushike mkono ili tumalizie tulipo bakiza.
Mwenyekiti wa Kijiji Cha Mtakuja Wilayani Chemba anasema watoto wasipo pata elimu ya dini watoto watapotea watakuwa Vibaka walevi ndohao badae wakikuwa wanakuwa Wavuta bagi tunaomba waisani watusaidie.