

14 April 2025, 5:54 pm
Aliye kuwa mkuu wa chuo cha ualimu Mpwapwa alifariki dunia kwa ajari ya gari
Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa ameongoza waombelezaji kuuga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa chuo cha ualimu Mpwapwa aliyefariki kwa ajali April 10, 2025 Mji wa serikali mtumba.