

18 February 2025, 6:39 pm
Miongoni mwa walio Hudhuria Mkutano huo nipamoja na Wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Chemba.
Na Kitana Hamis.
Naibu waziri wa Ardhi Mh Geofrey Pinda ameunda tume ya kuchunguza mgogoro wa ardhi wilayani Kiteto uliodumu kwa muda mrefu.
Awali wenyeviti wa Vijiji vya Ndaleta na Makame wakiongea Mbele ya Mh Pinda aliye fika nakuzungumza na Wananchi walikuwa na haya ya kusema.
Miongoni mwa walio Hudhuria Mkutano huo nipamoja na Wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Chemba ambapo mwenyekiti wa kijiji Cha olbolot nahapa anaeleza.
Nae Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Remidius Mwema akaeleza kuhusu Mgogoro huu uliodumu kwa muda mrefu.
Naibu Waziri wa Aridhi Mh: Geophrey Pinda akatoa kauli ya Serikali.