

31 January 2025, 6:07 pm
Dodoma FM imezungumza na baadhi ya vijana wanaotuhumiwa kutumia pombe hizo nao wanasema.
Na Kitana Hamis.
Tegemeo Kubwa la Taifa nipamoja na Nguvu Kazi ya Vijana ili kuhakikisha Taifa linazindi kwenda mbeli. Mtaa wa Msejerere kata ya Mtumba Jijini Dodoma nitofauti baadhi ya Vijana wengi wenye umri Mdogo wamejikita Kwenye Mkumbo wa unywaji wa Pombe.
Dodoma fm imezungumza na Baadhi ya vijana wanaotuhumiwa kutumia pombe hizo nao wanasema.
Vijana wengi hawataki kufanya kazi huku wengi wao bado wanaishi kwa wazazi wao.
Pombe hizo nizile za Bei nafuu marufu kama mataputapu ambao wengi wao ni vijana , Wamama wakiwa nawatoto wao wenye umri wa Miaka miwili hata mwaka Mmoja Baadhi ya Wazazi na Walezi wameeleza Athari Juu ya Watoto hao.
Mzazi anapokwenda na Mtoto Kwenye vilabu ya Pombe kitendo cha Mzazi kwenda na Mtoto Sehemu za Pombe si sahihi anamjengea Mazingira hatarishi pamoja na kukumbana na vitendo vya ukatili kirahisi.