Dodoma FM

Fahamu umuhimu wa miti katika mazingira

3 January 2025, 3:48 pm

Picha ni mmoja wa watunzaji wa bustani ya Jiji inayopatikana Wajenzi Jijini Dodoma akimwagilia miti hiyo.Picha na Yussuph Hassan.

Miti ina faida nyingi katika mazingira na maisha ya binadamu.

Na Yussuph Hassan.
Mwandishi wetu Yussuph Hassan anatufahamisha kuhusu bustani inayosimamiwa na halmashauri ya jiji la Dodoma inayopatikana eneo la Wajenzi jijini Hapa.