Dodoma FM

Kitambulisho cha Taifa ni muhimu kwa fursa za kiuchumi

30 October 2024, 6:30 pm

Na. Anselima Komba.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka vijana waliofikisha umri wa miaka 18 kujiandikisha ili kupata kitambulusho cha Taifa ili kukabiliana na fursa za kiuchumi .

Afisa usajili Wilaya ya Bahi  NIDA Bwn. Ombeni Ngowo ametoa wito huo kwa vijana kujitokeza kujisajili kwa ili kupata kitambulisho cha Taifa mara wanapofika umri wa miaka 18 kwani zoezi hili ni bure na pia ni bila haki.

Pichani Afisa Usajili NIDA Wilaya ya Bahi  NIDA Bwn. Ombeni Ngowo akisisitiza vijana kujiandikisha ili kupata kitambulisho cha taifa.
Sauti ya Bwn. Ombeni Ngowo

Aidha kwa upande wa wananchi wameelezea umuhimu wa kuwa na kitambulisho cha Taifa (NIDA) kwa vijana wanaotafuta fursa.

Pichani mwananchi wakieleza umuhimu wa kuwa na kitambulisho cha taifa
Sauti za wananchi
Pichani mwananchi wakieleza umuhimu wa kuwa na kitambulisho cha taifa