Dodoma FM

Sodo yadhibiti utoro kwa wasichana Vighawe Sekondari

17 October 2024, 8:01 pm

Hali ya utoro kwa wanafunzi wa kike katika shule sekondari Vighawe umepungua kwa kiwango kikubwa baada ya kanzisha maradi wa ushonaji sodo.   

Mradi huo unaofadhiliwa na shirika la Haki Elimu umeonesha mafanikio makubwa kwani unawafanya wasichana kuweza kuhudhuria shuleni muda wote kutokana na huduma ya sodo wanazopata shueleni hapo kama wanavyoeleza walimu shuleni hapo.

Pichani Mwl. Anna Musa wa Shule ya Sekondari Vighawe akielezea manufaa ya mradi
Sauti ya Mwl. Anna Musa na Mwl. Rehina Afrika
PichaniMwl. Rehina Afrika wa Shule ya Sekondari Vighawe akielezea jinsi sodo inavyowasaidia wasichana

Aidha Mwl. Mkuu wa shule ya Sekondari Vighawe Bi Veronica Abel ameleza manufaa ya mradi huo jinsi navyoweza kuwa fursa ya ajira kwa wanafunzi mara baada ya masomo.

Aidha Mwl. Mkuu wa shule ya Sekondari Vighawe Bi. Veronica Abel akielezea manufaa ya mradi wa sodo
Sauti Bi Veronica Abel

Kwa upande wa wanafunzi wameelezea jinsi maradi huo unavyowasaidia kwa sasa na maisha ya baadaye.

Pichani mwanafunzi akieleza jinsi sodo inavyowasaidia shuleni

Sauti za wanafunzi
Pichani mwanafunzi wa kiume akielezea jinsi anavyoshiriki kwenye mradi wa sodo shuleni