Dodoma FM

Chifu Chihoma mfano wa kuigwa uhifadhi utamaduni

8 October 2024, 6:40 pm

Na Yussufu Hassan.

Chifu  Chihoma ni mfano wa kuingwa katika jamii kwa kufundisha na uhifadhi wa amali za tamaduni  ya kigogo kwa vizazi vijavyo.

Akiongea na   Dodoma TV, Chifu Chimoma ameeleza juu ya vitu vya kitamaduni ambavyo amevihifadhi katika himaya yake ili kuwa  kumbukumbu kwa vizazi vijavyo pamoja na kuwafunza watoto na vijana kujua kupiga muziki kwa kutumia ala za kijadi za kabila la kigogo.

Pichani ni hifadhi ya viti vya kiutamaduni katika nyumba ya Chifu Chihoma
Sauti ya Chifu Chihoma

Aidha Chifu  Chihoma amebainisha baadhi ya vitu ambavyo ameviweka kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ikiwemo sanduku la mbao pamoja na jembe la baba yake la toka mwaka 1945,

Pichani ni sanduku la mbao la mwaka 1945 katika nyumba ya Chifu Chihoma.
Sauti ya Chifu Chihoma