Dodoma FM

Zingatia mpangilio wa lishe kuepuka utapiamlo kwa mtoto

7 October 2024, 7:04 pm

 Na Stephen Noel                                      

Mpangilio wa lishe uzipozingatiwa ni chanzo kikubwa cha utapiamlo kwa mtoto hata kama endapo kuna wingi wa vyakula.  

Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto Bwn. Joshua Gedion amebainisha hayo wakati akiongea na Dodoma TV, katika kambi ya matibabu inayoendelea Wilayani Mpwapwa.

Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto Bwn. Joshua Gedion
Sauti ya Daktari Bwn. Joshua Gedion

Aidha baadhi ya wazazi wamekiri kuwepo kwa changamoto ya uangalizi wa lishe kwa watoto kwani kwa sehemu kubwa jukumu hilo hufanywa na wadada wa kazi wakati wao wakiwa kwenye shughuli za kiuchumi.

Pichani moja ya mzazi akieleza chanzo cha utapiamlo kwa mtoto
Suati za wazazi
Pichani mzazi akieleza chanzo cha utapiamlo kwa mtoto