Dodoma FM

Uhakiki nembo ya ubora katika bidhaa ni salama kwa afya ya mlaji

19 September 2024, 7:51 pm

Na Fred Cheti.

Jamii imeaswa kuwa na utamaduni wakuhakiki ubora wa bidhaa sambamba na kuangalia ukomo wa matumizi kabla ya kufanya manunuzi.  

Afisa wa TBS

Shirika la Viwango Tanzania TBS limekuwa likifanya ukaguzi wa mara kwa mara katika maduka ya wauzaji wa bidhaa na kukamata na kuteketeza bidhaa zisizokuwa na ubora na zilizopita muda wa matumizi.

Wananchi wakieleza maoni yao kuhusu suala la kuthibitisha ubaora wa bidhaa

Aidha baadhi wananchi jijini Dodoma wameleeleza mitazamp yao na changamoto zinazowakabili katika kutekeleza utamaduni huo.

Sauti za wananchi
Picha kuonesha borodoza likitekeeteza bidhaa zisizo na ubora