Dodoma FM
Dodoma FM
11 September 2024, 7:36 pm

Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamesema kuwa wazazi wengi hawatengi muda wa kuzungumza na watoto wao, jambo ambalo linawanyima nafasi ya watoto kueleza changamotozao kwa wazazi.
Na Lilian Leopold. Mara kadhaa Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa kupinga masuala ya ukatili wamekuwa wakisisitiza wazazi kuwa na ukaribu na watoto wao ambapo kutapunguza matukio ya ukatili katika jamii

Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamesema kuwa wazazi wengi hawatengi muda wa kuzungumza na watoto wao, jambo ambalo linawanyima nafasi ya watoto kueleza changamotozao kwa wazazi.