

30 July 2024, 7:04 pm
CLARA MCHUNGUZI Afisa Miradi kutoka Shirika la Restless Development anaelezea zaidi.
Na Mariam Matundu.
Bado tunatuzunguza kuhusu uongozi wa serikali za mitaa na leo tunaangazia mitazamo hasi inavyowakwamisha wanawake kugombea nafasi hizo .