Dodoma FM

Ufahamu umuhimu wa Nyuki katika mazingira

18 May 2024, 6:53 pm

Baadhi ya watafiti kutoka TAWIRI wakitoa elimu kwa wananchi walio tembelea banda hilo katika viwanja vya Jakaya Kikwete Jijini Dodoma .Picha na Mariam Kasawa.

Wananchi wanaaswa kuendelea kutunza mazingira pamoja na kujihusisha na ufugaji wa nyuki kwani ni fursa itakayo wakwamua kiuchumi.

Na Mariam Kasawa.
Nyuki anatajwa kuwa mdudu muhimu sana katika Afya na mazingira kwani viumbe hai wote wanategemea uchavushaji wa nyuki kujipatia chakula na matunda.

Akiongea na Dodoma Tv Mtafiti kutoka TAWIRI Kipemba Ntiniwa anasema nyuki anafaidi nyingi katika mazingira kwani uchavushaji wake unafaida sana kwa viumbe hai.

Sauti ya Mtafiti kutoka TAWIRI Kipemba Ntiniwa
Picha ni baadhi ya mazao ya nyuki ikiwemo asali ambayo inapatikana katika mabanda ya maonyesho ya Nyuki jijini Dodoma . Picha na Mariam Kasawa.

Aidha bw. Kipemba ameyataja makundi ya nyuki katika mzinga na majukumu yao katika uzalishaji wa asali.

Sauti ya Mtafiti kutoka TAWIRI Kipemba Ntiniwa