Dodoma FM
Dodoma FM
20 May 2021, 14:31
Na;MARIAM MATUNDU. Ikiwa leo ni siku ya vipimo Duniani wakala wa vipimo Mkoani Dodoma wametembelea na kufanya ukaguzi wa mizani katika maeneo ya hospitali na sehemu za kufanyia mazoezi. Akizungumza katika ukaguzi huo kaimu meneja wa wakala wa vipimo Mkoa…
20 May 2021, 14:06
Yussuph Hans Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan, amesema mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga utasaidia kuvuta Wawekezaji Ukanda wa Afrika Mashariki, kuongeza ajira pamoja na pato la Taifa. Amebainisha hayo…
20 May 2021, 13:44
Na ;Benard Filbert. Uchakavu wa miundombinu ya maji katika Kata ya Keikei Wilayani Kondoa imetajwa kuwa sababu inayochangia kukosekana kwa huduma ya maji. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa Kata hiyo wakati wakizungumza na taswira ya habari kuhusu sababu…
20 May 2021, 13:27
NA ;SHANI NICOLOUS. Wananchi wametakiwa kufichua mambo ambayo ni uvunjivu wa sheria inayokiuka haki za binadamu na utawala bora . Wito huo umetolewa na Mohamed Hamis ambaye ni makamu mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na utawala bora wakati…
19 May 2021, 13:50
Na; Shani Nicolous Wakazi wa mtaa wa Mtube Kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wameelezea changamoto wanazokutana nazo kufuatia makazi yao kujaa maji wakati wa msimu wa mvua na kulazimika kuhamishiwa katika makazi ya muda. Wakizungumza na taswira ya habari wakazi…
19 May 2021, 13:39
Na; Yussuph Hans Wakuu wa Mikoa wametakiwa kusimamia uchumi wa Nchi kwa kushughulika na Viongozi wazembe, kuheshimu Miiko ya kazi pamoja na kutatua Changamoto za Wananchi. Akizungumza mara baada hafla ya uapisho wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi…
19 May 2021, 13:26
Na; James Justine Jamii imetakiwa kutokuwa na mitazamo hasi kwa mambo mbalimbali wanayoyafanya wanawake katika kujiletea maendeleo na Taifa kwa ujumla. Akizungumza na Taswira ya habari mkurugenzi wa kikundi cha akinamama kinachojihusisha na kuwainua wanawake jijini Dodoma (WOMEN OF POWER) …
19 May 2021, 08:13
Na; Tosha Kavula Jamii imetakiwa kufanya kazi pamoja katika kuhakikisha watoto wanapata malezi ya wazazi wote wawili kutokana na kuongezeka kwa wimbi la watoto kubadilika tabia.. Ushauri huo umetolewa na baadhi ya wazazi jijini hapa wakati wakizungumza na Dodoma Fm…
18 May 2021, 13:20
Na; Benard Filbert Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluh Hassan ameliagiza jeshi la Polisi nchini kuangalia upya sheria inayomtaka mgonjwa aliyepata ajali kutokutibiwa bila kuwa na fomu namba tatu ya Polisi(PF3) kwani imekuwa ikisababisha watu wengi kupoteza…
18 May 2021, 13:08
Na; Shani Nicolous Baadhi ya wanawake katika Mtaa wa Swaswa Mnarani , Kata ya Ipagala jijini Dodoma wamechanga fedha kwa ajili ya kuchimba kisima ili kukabiliana na changamoto ya maji inayowakabili kwa muda mrefu. Wakizungumza na Dodoma fm wanawake hao…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-