Dodoma FM

Recent posts

24 September 2021, 9:50 am

Juhudi zahitajika ujenzi wa barabara katika kata Ibihwa

Na; Benard Filbert. Licha ya wakala wa barabara za Mijini na Vijini TARURA Wilaya ya Bahi kuanza ujenzi wa barabara katika kata ya Ibihwa Wilaya ya Bahi imeelezwa bado juhudi zinatakiwa ili kuondoa changamoto ambazo zimekuwa kero kwa wananchi hususuani…

24 September 2021, 9:08 am

Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kutunza miundombinu ya maji taka

Na; Thadey Tesha. Wito umetolewa kwa wananchi jijini Dodoma kutunza miundombinu ya maji hususani ya maji taka ili kuepuka athari za kiafya zinazoweza kujitokeza. Wito huo umetolewa na MwenyeKiti wa mtaa wa Kiwanja ch ndege Bw. Ignas Joseph baada ya…

21 September 2021, 12:51 pm

Jamii yaaswa kuacha kutupa ovyo barakoa zilizo tumika

Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha kutupa hovyo barakoa zilizotumika ili kuepuka kusababisha magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa. Hayo yameelezwa na afisa afya wa jiji la Dodoma Abdallah Mahiya wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu athari za utupaji…

21 September 2021, 12:20 pm

Dodoma waidhimisha siku ya amani duniani kwa kudumisha amani mitaani

Na; Shani Nicolous. Kufuatia maadhimisho ya siku ya amani Duniani mwenyekiti wa wenyeviti wote jijini Dodoma Matwiga Kiyatya amesema wajibu wao ni kuhakikisha mitaa yote jijini inakuwa katika hali ya amani. Akizungumza na Taswira ya habari kupitia kipindi cha Dodoma…

21 September 2021, 12:08 pm

Wazazi wametakiwa kuwapa mafunzo ya ziada wahitimu wa darasa la saba ili kuwaepu…

Na ; Thadei Tesha. Wazazi jijini hapa wameshauriwa kuhakikisha wanawasaidia watoto wao waliohitimu darasa la saba katika kuwawezesha kupata mafunzo mbalimbali katika kipindi hiki wanachosubiri matokeo ili kupunguza vitendo vya ukatili na watoto kuharibikiwa kimaadili katika jamii. Akizungumzia athari ambazo…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger