Recent posts
16 March 2022, 2:06 pm
Faundation for civil society yajadili utoaji huduma bora za kijamii
Na;Mindi Joseph . Taasisi ya Foundation for civil society Leo imekutana na wadau wa habari Kujadili namna ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma bora za kijamii kwa wananachi. Akizungumza na Taswira ya Habari Afisa Program Mwandamizi Nicolaus Mhozya amesema lengo…
16 March 2022, 1:57 pm
Watu wenye ulemavu waomba elimu juu ya umuhimu wa sensa
Na; Mariam Matundu. Watu wenye ulemavu wameiomba serikali kuwaelimisha juu ya umuhimu wa sense kwa kundi hilo ili waweze kushiriki kikamilifu kuhesabiwa pindi zoezi litakapoanza. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya watu wenye ulemavu wamesema sense ni muhimu kundi…
16 March 2022, 1:43 pm
Ukosefu wa ajira chanzo cha matumizi ya dawa za kulevya
Na; Elizabeth Japhet. Ukosefu wa ajira unatajwa kuwa moja ya sababu inayosababisha baadhi ya vijana kujihusisha na utumiaji wa dawa za kulevya. Bwana Swaleh ni miongoni mwa wahanaga wa dawa za kulevya na mfanyabiashara wa soko kuu la majengo jijin…
15 March 2022, 2:07 pm
Wazazi watakiwa kusimamia Afya ya kinywa ya watoto wao
Na;Yussuph Hassan. Katika kuhakikisha Mtoto anapata makuzi bora ya afya ya kinywa, imeelezwa kuwa Mzazi ana wajibu wa kumsimamia Mtoto wake kuanzia umri wa Mwaka mmoja hadi kufikia umri wa miaka Tisa. Usafi wa kinywa hujumuisha usafi wa meno, fizi,…
15 March 2022, 1:52 pm
Wakazi wa Dodoma waaswa kuacha kuchimba mchanga katika viwanja vya watu
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Dodoma wenye tabia ya kuchimba mchanga katika viwanja vya watu wametakiwa kuacha tabia hiyo kwani watachukuliwa hatua kali mara tu watakapokamatwa wakifanya vitendo hivyo Hayo yamesemwa na Afisa mazingira mkoa wa…
15 March 2022, 1:40 pm
Wazazi acheni kushinikiza watoto wajifelishe.
Na;Mindi Joseph . Wazazi Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wametakiwa kuachana na tabia ya kuwashinikiza watoto kujifelisha katika masomo yao. Kauli hiyo imetolewa na Afisa Elimu Michezo Wilayani humo Nicholaus Achimpota ambapo amesema hali hiyo inapelekea kurudisha nyuma maendeleo ya elimu…
10 March 2022, 3:46 pm
Wakazi wa mtaa wa Chang’ombe Ihumwa walalamikia kukosa huduma ya maji
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Chang’ombe kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameelezea changamoto zao ikiwa ni pamoja na ukosefu wa maji safi na salama katika eneo hilo Wamesema ukosefu wa maji safi na salama unawalazimu kutumia…
10 March 2022, 3:14 pm
Jamii yatakiwa kuacha imani za kishirikina juu ya uchangiaji damu
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kuachana na imani za kishirikina juu ya suala la kuchangia damu ili kupunguza idadi ya wagonjwa wanaofariki kutokana na kukosa damu. Akizungumza katika mahojiano maalum na kipindi cha taswira ya habari Daktari kutoka katika hospitali…
10 March 2022, 2:38 pm
TBA yatakiwa kuharakisha mchoro wa jengo la ofisi
Na; Mariam Matundu. Katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia ,wanawake na makundi maalumu Dkt Zainabu Chaula amewaomba wakala wa majengo ya serikali (TBA) kuharakisha taratibu za kupata mchoro wa jengo la ofisi za wizara hiyo ili ujenzi uanze…
7 March 2022, 1:46 pm
Jamii inahitaji zaidi Elimu ya Afya ya akili
Na; Benard Filbert. Wadau wa afya nchini wameombwa kuwekeza katika utoaji wa elimu ya afya ya akili kwa vijana ili kuwasaidia kuondokana na changamoto mbalimbali. Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa huduma za tiba kutoka wizara ya afya wakati akizungumza na…