Recent posts
21 April 2022, 3:36 pm
TMA yatakiwa kuweka vipaumbele katika kuboresha huduma
Na;Mindi Joseph . Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Kuweka vipaumbele zaidi katika kuboresha zaidi huduma zote wanazozitao kwa jamii. Akizungumza leo jijini Dodoma katika Ufunguzi wa kikao cha Baraza…
21 April 2022, 11:05 am
Lugha mama itumike kufundishia shuleni
Na; Yussuph Hassan. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo kwa kujadili hotuba ya bajeti katika Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi. Katika kujadili bajeti hiyo Mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini Athumani Almas…
21 April 2022, 10:43 am
Maadhimisho ya muungano kufanyika Dodoma April 26
Na; Selemani Kodima. Serikali imesema kuwa maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanzania yanatarajia kufanyika tarehe 26 April 2022 jijini dodoma ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan. Taarifa iliyotolewa leo…
21 April 2022, 10:22 am
Wanawake Ilazo waiomba serikali kuwapatia elimu ya mikopo
Na; Shani Nicolous. Wanawake wa mtaa wa Ilazo jijini hapa wameiomba serikali na taasisi za mikopo kutoa elimu juu ya matumizi sahii ya mikopo hiyo. Wakizungumza na Taswira ya habari wanawake hao wamesema kuwa mikopo huenda inatolewa lakini mwitikio ni…
12 April 2022, 4:26 pm
Serikali idhibiti ongezeko la watoto wa mitaani
Na; Shani Nicolous. Wakati siku ya mtoto anayeishi na kufanya kazi mtaani ikiadhimishwa kimataifa serikali imeombwa kuongeza nguvu na itilie mkazo jambo la kudhibiti ongezeko la watoto wa mtaani. Akizungumza na kituo hiki Elizabeth Msuya kutoka Taasisi isiyo ya kiserikali…
12 April 2022, 3:27 pm
Zahanati ya Kisokwe kukamilika punde
Na;Mindi Joseph. Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imefanikiwa kupeleka Million 50 za kukamilisha ujenzi wa zahanati ya kisokwe wilayani humo. Taswira ya habari imezungumza na Diwani wa kata ya mazae Mwl Willium Madae amesema pesa hizo zitachangia Ujenzi wa zahanati…
12 April 2022, 3:10 pm
Elimu ya Saikolojia yaendelea kutolewa kwa jamii
Na;Mindi Joseph. Asasi ya Saiko Center imeendelea kutoa elimu ya saikolojia ili kuhakikisha inasaidia jamii kuepukana na changamoto za kisaikolojia. Taswira ya habari imezungumza na Mtendaji wa Asasi hiyo Sylvia Siriwa ambapo amesema malengo yaliyopo kwenye asasi hiyo ni kutoa…
11 April 2022, 4:11 pm
Wananchi watakiwa kutumia fursa mwezi wa Ramadhani
Na;Yussuph Hassan. Wananchi Mkoani Dodoma wameshauriwa kutumia fursa zinazopatikana kupitia Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kupunguza ugumu wa maisha. Ushauri huo umetolewa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mustafa Rajabu wakati akizungumza na kituo hiki ambapo amesema…
11 April 2022, 3:32 pm
Wakazi wa Dodoma watakiwa kutoa ushirikiano ili kumaliza changamoto ya maji
Na; Shani Nicolous. Wanachi wa mkoa wa Dodoma pamoja na wadau wote wa maji wametakiwa kuendeleza ushirikiano na mamalaka ya maji safi na usafi wa mazingira Duwasa ili kufikia lengo la kumaliza changamoto ya maji. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji…
11 April 2022, 2:44 pm
Wajawazito watakiwa kuzingatia lishe
Lishe Hafifu kwa Mama wajawazito imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa Watoto kuzaliwa wakiwa na upofu wengine uoni Hafifu. Taswira ya habari imezungumza na Daktari wa macho Wilaya Bahi Dk Fortunatus Nkane ambaye pia ni Mratibu wa huduma za Macho Wilayani…