Dodoma FM
Dodoma FM
6 June 2023, 4:23 pm
Dhana ya wananchi ya kuamini utalii hufanywa na watu kutoka nje ya nchi inakwamisha sana sekta ya utalii nchini. Na Alfred Bulahya. Kuelekea siku ya maporomoko ya maji duniani, watanzania wametakiwa kuacha kuamini kuwa suala la utalii linafanywa na watu…
5 June 2023, 7:11 pm
Juni 5 ya kila mwaka ni siku ya mazingira duniani, sikuu hii inaadhimishwa kuhusu umuhimu wa mazingira kwa maisha ya binadamu. Na Fred Cheti Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watanzania…
5 June 2023, 6:16 pm
NIDA imeingia ubia na shirika la Posta katika zoezi la usambazaji wa vitambulisho. Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ikiwa ni njia pekee ya kufanikisha lengo la serikali la kuboresha utoaji wa huduma…
5 June 2023, 5:56 pm
Pia alitembelea jengo jipya la benki ya NMB wilaya ya Bahi ambalo tayari limekamilika na linatarajiwa kuanza kutoa huduma muda wowote. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe ameagiza miradi yote ya miundombinu ya elimu wilayani…
2 June 2023, 7:06 pm
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta na zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la karanga mkoani Dodoma wamepongeza uwepo wa teknolijia ya mashine za kuvuna karanga. Mashine…
2 June 2023, 6:45 pm
Waziri Dkt. Gwajima amesema katika bajeti zijazo itabidi uhakiki wa bajeti ufanyike ili kubaini kama bajeti ya utekelezaji wa Programu hiyo umezingatiwa. Na Mariam Matundu. Rai imetolewa kwa wataalam wa mipango na uratibu katika sekretarieti za mikoa kuhakikisha wanatenga bajeti…
2 June 2023, 1:44 pm
Na Bernadetha Mwakilabi. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa inatarajia kuanzisha mnada mpya wa kisasa wa nyama choma katika eneo la Mbande utakaosaidia kukuza uchumi wa wafanyabiashara na kuitangaza wilaya hiyo kibiashara. Hayo yamesemwa na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya…
2 June 2023, 1:21 pm
Na Selemani Kodima. Wakazi 4,441 wa mitaa ya Chimalaa na Nyerere kata ya Ntyuka jijini Dodoma wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutopata uhakika wa maji safi na salama baada ya uzinduzi wa mradi wa maji wa Ntyuka Chimalaa kukamilika .…
1 June 2023, 5:38 pm
Mradi huo wenye mikataba minne una thamani ya sh. Bilioni 4.8. Na Mindi Joseph. Wakazi 37,929 katika kata ya Nzuguni mkoani Dodoma wanatarajia kunufaika na utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji unaotarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu.…
1 June 2023, 4:56 pm
Wakulima hao wameendelea kuiomba serikali kuwatafutia masoko ya uhakika . Na Bernad Magawa Baadhi ya wakulima wa mpunga wilayani Bahi wameshindwa kushiriki kikamilifu katika kilimo msimu uliopita wa kilimo kutokana na gharama kubwa za kilimo hicho pamoja na pembejeo. Mpunga…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-