Dodoma FM
Dodoma FM
14 June 2023, 3:24 pm
Waziri Ummy ametoa wito kwa Watanzania kwenda kupima kujua hali zao lakini kwa ambao wanajua hali zao dawa za UKIMWI zipo na zinatolewa bila malipo na vipimo vya kujipima mwenyewe vipo kwahiyo Watanzania wajitokeze kupima ili tutokomeze UKIMWI ifikapo mwaka…
14 June 2023, 1:50 pm
Maabara hizo zitachochea wanafunzi wengi wa shule hiyo ya Msisi Juu kupenda masomo ya sayansi. Na Bernad Magawa . Wananchi wa kata ya Msisi wilayani Bahi wameishukuru serikali kwa kujenga maabara za masomo ya sayansi kwenye shule ya sekondari Msisi…
14 June 2023, 1:14 pm
SSP Idd Abdala amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, hivyo ni vema miradi yote ikakamilika kwa wakati. Na Bernad Magawa. Serikali wilayani Bahi mkoani Dodoma imewaagiza mafundi wote wanaojenga miradi ya maendeleo miundombinu ya…
14 June 2023, 12:10 pm
Viongozi wamekumbushwa kuwa na mshikamo ili kuepusha migongano mbalimbali isiyokuwa ya lazima. Na Bernad Magawa. Viongozi wa kanisa jimbo kuu katoliki Dodoma wameaswa kuwa wasikilizaji wazuri wa shida za wale wanaowaongoza huku wakikumbushwa kufanya utafiti wa kina kabla wa kutolea…
13 June 2023, 2:39 pm
Maadhimisho ya siku ya kupinga ajira kwa watoto hufanyika june 12 kila mwaka na mwaka huu maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na kaulimbiu isemayo haki ya jamii kwa wote. Kukomesha ajira ya watoto. Na Pius Jayunga. Tume ya haki za binadamu…
13 June 2023, 1:55 pm
Na Mindi Joseph. Wanafunzi wa kike wamesema uwepo wa elimu ya TEHAMA inayotolewa na wadau imechochea kuongeza idadi ya wasichana kwenye nyanja ya teknolojia. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mnadani sekondari wamesema elimu hiyo…
13 June 2023, 1:11 pm
Wana mpango wa kuweka ushirikiano na jiji la Dodoma idara ya elimu ili kufkia shule nyingi zaidi . Na Mariam Matundu. Ndaki ya sayansi asilia na hisabati kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wameanza programu ya huduma kwa jamii katika…
13 June 2023, 12:39 pm
Kongamano hilo lina lengo la kujadili na kuwajengea uelewa viongozi wa madhehebu ya dini nchini juu ya kufahama athari zinazoweza kutokana na kelele na mitetemo katika nyumba za ibada ili wakawe mabalozi kwa waumini wao. Na Fred Cheti. Serikali imewataka…
9 June 2023, 3:22 pm
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kongwa Mheshimiwa White Zuberi amesema kuwa Serikali inawajali na kuwathamini wananchi wake ndio maana inapambana kuzitatua changamoto za Maji. Na Bernadetha Mwakilabi. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amesema kuwa ni…
9 June 2023, 1:12 pm
Na Lonard Mwacha. Msanii wa kizazi kipya kutoka Dodoma Suleiya Abdi ameweka wazi dhamira yake ya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao kutokana na mimba za utotoni ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-