Dodoma FM
Dodoma FM
30 June 2023, 5:02 pm
Katika eneo hilo zipo daladala zinazoelekea maeneo mbalimbali nje ya jiji ikiwemo Mpunguzi ambapo pia wapo baadhi ya akina mama na wafanyabiashara wadogo wanaojishughulisha na biashara katika eneo hili ingawa hali ya upatikanaji wa wateja sio ya kuridhisha. Na Thadei…
30 June 2023, 4:34 pm
Juni 30 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula atakutana na wananchi jijini Dodoma Kusikiliza changamoto za upatikanaji wa hatimiliki ya ardhi. Na Mindi Joseph. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula…
30 June 2023, 3:43 pm
Amesema jumuiya ya vijana ni tegemeo kwa chama inaweza kuleta vuguvugu la maendeleo hivyo kama vijana wanahakikisha wanakuwa na maadili mshikamano na mahusiano mazuri kwa Chama na Serikali. Na Bernadetha Mwakilabi. Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha…
28 June 2023, 5:41 pm
Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya vijiji mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph. Milioni 560 zinatarajiwa kutumika katika kuchimba kisima cha maji ndani ya kijiji cha Uhelela wilayani Bahi mkoani Dodoma ambacho kitahudumia…
28 June 2023, 5:09 pm
Ahadi hiyo wameitoa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya uwajibikaji na ufatiliaji kwa jamii yaliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la AFNET kuanzia 27-28 Juni jijini Dodoma. Na Seleman Kodima. Wajumbe wa kamati za shule katika kata nne wilayani Chamwino…
28 June 2023, 4:25 pm
Taasisi ya Wajibu wamezindua Ripoti za Uwajibikaji ambapo ni nne ikiwemo Ripoti ya viashiria vya Rushwa, ubadhirifu na Udanganyifu katika Taasisi za Umma, Ripoti ya uwajibikaji wa Vyombo vya Usimamizi kwa Taasisi za Umma. Na Seleman Kodima. Naibu katibu mkuu…
28 June 2023, 2:30 pm
Maadhimisho ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya yalifanyika kitaifa mkoani Arusha Juni 25 mwaka huu. Na Respishas Lopa. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameonesha utayari wao wa kuwapokea waraibu wa dawa za kulevya na kushirikiana nao katika…
27 June 2023, 7:37 pm
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania katika kuinua sekta ya kilimo nchini, imeamua kuanza na mikoa ya Lindi na Mtwara kulifanya zao la alizeti kuwa zao la kimkakati katika mikoa hiyo. Na Mindi Joseph. Zao la alizeti…
27 June 2023, 6:28 pm
Mkoa wa Dodoma umebahatika kupata minara 36 huku 6 ikijengwa na Vodacom. Na Mindi Joseph. Serikali imeondoa tozo kwenye miamala ya kutuma fedha katika mitandao mbalimbali ya simu ili kuondoa adha kwa watazania. Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na…
27 June 2023, 5:08 pm
Amewataka watendeji kuendelea kusisitiza suala la utunzaji wa mazingira ili kuokoa vizazi vya sasa na vijavyo. Na Fred Cheti. Jumuiya za watumia maji katika halmsahuri ya wilaya ya Mpwapwa zimeaswa kuunganisha nguvu na serikali kwa kutoa ushirikiano utaokaosaidia kuundwa utaratibu…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-