Recent posts
23 January 2023, 11:47 am
Mvumi Misheni walia na gharama za matibabu
Na; Victor Chigwada. Licha ya huduma zinazotolewa katika hospitali ya Mvumi Misheni bado wananchi wametaja gharama za matibabu katika hospitali hiyo kuwa changamoto. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mvumi Bw.Alpha Zoya wakati akizungumza na Taswira ya Habari…
23 January 2023, 11:25 am
Bodaboda Bahi walalamika kuto nufaika na stendi
Na; Bernad Magawa . Madereva wa bodaboda wilayani Bahi Mkoani Dodoma wameelezea kutokunufaika na stendi ya mabasi wilayani humo . Hayo yamesema na Mwenyekiti wa madereva wa boda boda Wilaya ya Bahi Bw Mohamedi Mongoya mapema leo wakati akizungumza na…
23 January 2023, 10:25 am
Wizara ya Ardhi kutoa hatimiliki
Na; Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inatarajia kutoa Hati Milki za Ardhi milioni moja katika maeneo ya mijini pamoja na Hati Miliki za Kimila laki…
22 January 2023, 10:59 am
Wiki ya Sheria yazinduliwa Jijini Dodoma
Na; Fred Cheti. Makamu wa Rais wa Jamhuriya muungano wa Tanzania dkt. Philp Mpango amesema uchumi endelevu wa wananchi utafanikiwa iwapo vyombo vya utoaji haki vitatimiza wajibu wake katika kusikiliza na kutoa haki kwa wananchi bila upendeleo wowote. Dkt. Mpango…
22 January 2023, 10:47 am
Aina za Zabibu
Na; Yussuph Hassan. Je unazifahamu aina za zabibu? Msikilize Yussuph Hassan katika Fahari ya Dodoma akikufahamisha aina hizo.
22 January 2023, 10:27 am
Kuandika wosia si kujitabiria kifo
Na; Mariam Kasawa. Wazazi wamekumbushwa kuwa na utamaduni ya kuandika wosia ili mgawanyo wa mali usilete shida endapo mzazi huyo atafariki. Akizungumza na Dodoma Tv mwanasheria kutoka chama cha wanasheria wanawake TAWLA bi. Neema Ahmed amesema wazazi wanapaswa kujua kwamba…
22 January 2023, 10:18 am
Matumbulu walalamika gharama za umeme
Na; Mindi Joseph. Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo. Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa…
22 January 2023, 10:04 am
KILIMO CHA MBAAZI
Na; Mariam Kasawa Licha ya zao la mbaazi kutumika kama matumizi mbalimbali kama mboga , chakula huku zao hili likifundishwa na wataalamu kuwa linaweza kuwa zao la biashara kwa kutengenezea vitu mbalimbali kama uji, supu, biscuti , cake, makande lakini…
21 January 2023, 10:13 am
Wakazi wa Igungulile walazimika kutumia maji ya Mabwawa
Na; Victor Chigwada. Kukosekana kwa huduma ya Maji safi na salama imetajwa kuwa ni sababu ya Wananchi wa kijiji cha Igungulile wilayani Chamwino kutumia maji ya mabwawa. Mwenyekiti wa kijiji cha Igungulile Bw.Hamisi Msangi amesema changamoto ya maji imesababisha wananchi…
20 January 2023, 3:12 pm
Serikali yatatua kero ya maji Mvumi Misheni
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Mvumi misheni Wilayani Chamwino wameipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa juhudi za kutatua changamoto ya maji Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa kujengwa kwa mradi huo wa …