Recent posts
19 October 2022, 9:29 am
Wakazi wa Njoge waishukuru serikali kwa kuboresha sekta ya elimu
Na ;Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Lenjulu Wilaya ya Kongwa wametoa shukrani zao kwa Serikali ya awamu ya sita kwa jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya elimu nchini Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamepongeza jitihada…
19 October 2022, 9:15 am
Wakazi wa Njoge wahofia kuharibika zaidi kwa miundombinu ya barabara msimu wa mv…
Na; Victor Chigwada. Kuchelewa kwa ukarabati wa barabara za kata ya Njoge umewapa wasiwasi wakazi wa kata hiyo wakati wakijiandaa na msimu majira ya mvua Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa barabara hizo…
19 October 2022, 8:57 am
Serikali yaahidi kutatua changamoto ya maji Chunyu
Na;Mindi Josph . Serikali imeahidi kuchimba visima vya maji ili kutatua changamoto ya maji inayowakabili wananchi wa kijiji cha chunyu wilayani Mpwapwa. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wamesema hadi sasa wanatumia maji chumvi ambayo…
18 October 2022, 6:55 am
Uhaba wa skimu za umwagiliaji watajwa kuchangia maisha duni
Na;Mindi Joseph . Ukosefu wa Skimu za umwagiliaji katika baadhi ya maeneo Mkoani Dodoma umetajwa kuchangia Maisha Duni kwa wananchi kutokana na uzalishaji hafifu wa Chakula. Taswira ya Habari imezungumza na Baadhi ya wanachi wa Kijiji cha Chunyu Wilayani mpwapwa…
18 October 2022, 6:44 am
Wakazi jijini Dodoma waomba kupunguziwa gharama za usafirishaji
Na; Mariam Matundu. Wananchi jijini Dodoma wameomba kuboreshewa usafirishaji ili kupunguza gharama za usafiri zinachochangia kupanda kwa gharama za maisha siku hadi siku. Denis mandia ni mkazi wa dodoma yeye amesema kuwa suala la kupanda kwa gharama za usafirishaji zinachochea…
18 October 2022, 6:10 am
Wakazi wa Miganga waiomba serikali kuendelea kusambaza umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga Kata ya Idifu wilaya ya Chamwino wameiomba serikal kuendelea kusambaza nishati ya umeme katika kijiji hicho hali itakayosaidia kukua kwa uchumi. Ombi hilo wamelitoa wakati wakizungumza na Taswira ya habari kuhusu uwepo…
12 October 2022, 12:43 pm
Uhaba wa madarasa Miganga wawanyima uhuru wanafunzi
Na; Benard Filbert. Uhaba wa madarasa katika shule ya msingi Miganga kata ya Idifu wilaya ya Chamwino imetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi kujifunza kwa uhuru. Hayo yameelezwa na wazazi wa wanafunzi katika kijiji cha Miganga wakati wakizungumza na Taswira ya…
12 October 2022, 12:17 pm
Wakazi wa Makutupa wakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama
Na; Na ;Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Makutupa wilayani kongwa wameendelea kutumia maji yasiyo safi na salama licha ya uwepo wa juhudi za uongozi wa kata ya ngomai kukabiliana na changamoto hiyo. Hali hiyo imesababisha uwepo matumizi ya maji…
12 October 2022, 11:59 am
Wasichana wataka usawa katika ugawaji wa majukumu
Na; Mariam Matundu. Usawa katika ugawaji wa majukumu ya nyumbani kwa wasichana ni mzigo ambao umekuwa ukiwalemewa . Siku ya mtoto wakike Duniani yenye kaulimbiu isemayo Haki zetu ni hatma yetu ,wakati ni sasa ,Baadhi ya wasichana wamesema suala la…
12 October 2022, 11:30 am
CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani
Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…