Dodoma FM
Dodoma FM
28 November 2025, 6:16 pm

Udhalilishaji, kusambazwa kwa picha au video bila ridhaa, na vitisho kupitia mitandao ya kijamii vimekuwa vikiongezeka.
Katika ulimwengu wa kidigitali, wanawake wameendelea kuwa wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia mtandaoni.
Vitendo vya matusi, udhalilishaji, kusambazwa kwa picha au video bila ridhaa, na vitisho kupitia mitandao ya kijamii vimekuwa vikiongezeka kwa kasi na kuathiri maisha ya wahanga kwa kiwango kikubwa.
Dodoma FM imefanya mahojiano maalum na Dawati la Jinsia na Watoto Dodoma pamoja na Mwanasheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ili kufahamu zaidi kuhusu tatizo hili na hatua za kisheria zinazoweza kuchukuliwa.
Karibu Kusikiliza kipindi hiki..