Dodoma FM

Uchambuzi baraza jipya la mawaziri

19 November 2025, 2:16 pm

Picha ni baraza jipya la Mawaziri ambalo lina mawaziri 27 na manaibu 29.Picha na Ikulu Mawasiliano.

Mwandishi wetu Selemani Kodima ametuandalia Uchambuzi mfupi

Na Seleman Kodima.
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuwaapisha mawaziri 27 na manaibu 29 wa baraza jipya la Mawaziri ,ipo mitazamo tofauti juu ya Baraza hilo.

Mwandishi wetu Selemani Kodima ametuandalia Uchambuzi mfupi juu ya baraza jipya la Mawaziri.

Sauti ya Seleman Kodima.