Dodoma FM
Dodoma FM
28 October 2025, 3:44 pm

Na Waandishi wetu.
Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika siku ya kesho, ambayo ni 29 Oktoba, waandishi wa habari wamefanya mahojiano na wasimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dodoma ili kufahamu maandalizi yapoje mpaka mpaka sasa.
Tunaungana na Selemani Kodima ambaye amezungumza na Msimamizi wa Uchaguzi Vicent Mashauri, jimbo la Kondoa DC
Baada ya kumsikiliza Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kondoa DC, tunaungana na Mariam Matundu amezungumza na Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Bahi.
Tunahitimisha na Lilian Leopold ambaye amezungumza na Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Dodoma mjini.