

27 February 2025, 1:41 pm
Wakazi wa kijiji hiki wengi wanajihusisha na kilimo .
Na Yussuph Hassan.
Karibu kwenye mfululizo wa makala hii ya Fahari ya Dodoma kuufahamu uzuri wa mkoa wa Dodoma ambapo leo tunakitazama kijiji cha Chikopelo kinachopatikana katika kata ya Chali wilayani ya Bahi.
Kijiji hihi ni kati ya maeneo yaliyo pitiwa na Bonde la ufa , Yussuph Hassan ameongea na wenyeji wa kijiji hiki.