Dodoma FM
Jifunze kumlinda mtoto dhidi ya ukatili
15 November 2024, 7:40 pm
Na Lilian Leopold
Jamii inakabiliwa na tatizo la uelewa kufahamu vitendo vya ukatili ambavyo mtoto hapaswi kufanyiwa.
Hidaya Kaonga, Wakili na Mratibu wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu Mkoani Dodoma amebainisha mambo ambavyo yananyima haki ya msingi kwa mtoto .
Katika hatua nyingine amebainisha sheria mbalimbali zinazomlinda mtoto dhidi ya vitendo viovu ikiwemo Sheria ya Mtoto ya 2019 na Mkataba na Umoja wa Mataifa wa Haki za Watoto.
Sanjari na hayo amebainisha jitihada mbalimbali wanazozifanya katika jamii ili kuhakikisha Watoto wanalindwa .
Kwa upande wa wananchi nao baadhi yao wamekuwa na haya ya kusema.