Matumizi ya nishati ya umeme jua ni tija katika kilimo
1 November 2024, 6:50 pm
Na Mindi Joseph
Matumizi ya nishati ya umeme jua katika shughuli za Kilimo inatajwa kuwa Mkombozi kwa wakulima kutokana na kuokoa gharama mbalimbali pamoja na kuwezesha uzalishaji wenye tija kwa msimu mzima.
Bwana Ngalya mkulima mkazi wa Kata cha Matungulu nje kidigo ya jiji la Dodoma anaelelza jinsi anavyonufaika na nishati ya umeme jua katika shughuli za kilimo.
Aidha baadhi ya wakulima katika kata hiyo wameeleza changamoto zinazowakabili katika kuopata huduma ya nishati ya umeme jua katika shughuli za kilimo.
Bi Anneth Mnana Afisa kilimo wa kata ya Matumbulu ametoa ushauri jinsi wa wakulima wasiokuwa na uwezo ili kuweza kupata huduma ya nishati yaa umeme jua.
Matumizi ya nishati ya umeme jua katika shughuli za Kilimo inatajwa kuwa Mkombozi kwa Wakulima kutokana na kuokoa gharama mbalimbali pamoja na kuwezesha uzalishaji wenye tija kwa msimu mzima.