Kijana alie mchinja bibi yake apandishwa kizimbani Mpwapwa
Kijana alie mchinja bibi yake apandishwa kizimbani Mpwapwa
18 April 2024, 6:27 pm
Picha ni mahakama ya wilaya ya Mpwapwa. Picha na steve Noel
Kijana huyo ambae alitenda kosa hilo wiki chache zilizopita kwa madai kwamba bibi yake alikuwa akimroga asifanikiwe kimaisha jana amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka lake ambapo kesi imeahirishwa .