Dodoma FM
Dodoma FM
28/11/2023, 18:11

Na Mariam Matundu.
Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ?
Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa Dodoma Theresia Mdendemi na ameanza kuuliza ni njia gani za haraka za kuripoti matukio ya ukatili.