Dodoma FM

Vijana watakiwa kutambua umuhimu wa sekta ya kilimo

9 October 2023, 9:27 am

Picha ni baadhi ya washiriki wa mdahalo huo. Picha na Mondi Joseph.

Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania AMDT Leo imewakutanisha Wadau mbalimbali kutoka sekta ya Umma, wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali na vijana katika Mdahalo wa kuibua changamoto zinazowakabili vijana ili kupata majibu sahihi.

Na Mariam Kasawa.

Vijana wametakiwa kuiona sekta ya kilimo kuwa Muhimu katika kujiendeleza kiuchumi na kuondokana na utegemezi wa Ajira.

Hayo yamebainshwa Jijijini Dodoma na Katibu mtendaji wa baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi Beng’i Issa wakati Akifungua Mdahalo wa Fursa kwa Vijana katika sekta ya kilimo Biashara.

Sauti ya Bi.Beng’i Issa .
Picha ni Mkurugenzi mtendaji wa AMDT Meneja ufuatiliaji Athuman Zuberi .Picha na Mindi Joseph.

Kwa upande wake Lilian Simule Kaimu mwenyekiti Bodi ya AMDT amebainishwa kuwa Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania inahudumia vijana elfu 30 kila mwaka kupitia miradi mbalimbali.

Sauti ya Bi.Lilian Simule Kaimu mwenyekiti Bodi ya AMDT

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa AMDT Meneja ufuatiliaji Athuman Zuberi alikuwa na haya ya kusema.

Sauti ya Bw.Athuman Zuberi .
Picha ni Bi.Lilian Simule Kaimu mwenyekiti Bodi ya AMDT akiongea katika mdahalo huo. Picha na Mindi Joseph.

Kwa upande wake Mwakilishi wa vijana Nathan John Julius amebainisha kuwa vijana wengi hawataki kujishuhulisha na kilimo.

Sauti ya Mwakilishi wa vijana Nathan John Julius.