

21 July 2023, 5:25 pm
Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa.
Na Yussuph Hassan.
Tunaendelea kuangazia historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.